22 Na tazama, watumishi wa Daudi na Yoabu walikuwa wakirudi kutoka kufanya uvamizi, na nyara+ waliyoleta ilikuwa nyingi. Lakini Abneri hakuwa na Daudi katika Hebroni, kwa maana alikuwa amemwacha aende zake, naye alikuwa njiani akienda zake kwa amani.