-
Isaya 22:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Nao wataning’iniza juu yake utukufu wote wa nyumba ya baba yake, wazao na machipukizi, vyombo vyote vya aina ndogo, vyombo vya aina ya bakuli na vilevile vyombo vya mitungi mikubwa.
-