1 Wafalme 10:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Na vyombo vyote vya kunywea vya Mfalme Sulemani vilikuwa vya dhahabu, na vyombo vyote vya Nyumba ya Msitu wa Lebanoni+ vilikuwa vya dhahabu safi.+ Hapakuwa na kitu chochote cha fedha; fedha haikuhesabiwa kuwa kitu katika siku za Sulemani.
21 Na vyombo vyote vya kunywea vya Mfalme Sulemani vilikuwa vya dhahabu, na vyombo vyote vya Nyumba ya Msitu wa Lebanoni+ vilikuwa vya dhahabu safi.+ Hapakuwa na kitu chochote cha fedha; fedha haikuhesabiwa kuwa kitu katika siku za Sulemani.