2 Samweli 19:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Naye mfalme akaanza kurudi, akafika Yordani. Nao Yuda wakaja Gilgali+ ili kwenda kumpokea mfalme, wamvushe mfalme Yordani.
15 Naye mfalme akaanza kurudi, akafika Yordani. Nao Yuda wakaja Gilgali+ ili kwenda kumpokea mfalme, wamvushe mfalme Yordani.