Isaya 28:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Kwa maana bizari nyeusi haisagwi kwa kifaa cha kupuria;+ wala gurudumu la gari la kukokotwa halizungushwi juu ya bizari. Kwa maana kwa kawaida bizari nyeusi hupigwa kwa fimbo,+ na bizari kwa fimbo ya mkono.
27 Kwa maana bizari nyeusi haisagwi kwa kifaa cha kupuria;+ wala gurudumu la gari la kukokotwa halizungushwi juu ya bizari. Kwa maana kwa kawaida bizari nyeusi hupigwa kwa fimbo,+ na bizari kwa fimbo ya mkono.