Mwanzo 25:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Yokshani akamzaa Sheba+ na Dedani.+ Na wana wa Dedani wakawa Ashurimu na Letushimu na Leumimu. Isaya 21:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Tangazo juu ya nchi tambarare ya jangwani: Mtakaa usiku katika msitu katika nchi tambarare ya jangwani, enyi misafara ya watu wa Dedani.+
3 Yokshani akamzaa Sheba+ na Dedani.+ Na wana wa Dedani wakawa Ashurimu na Letushimu na Leumimu. Isaya 21:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Tangazo juu ya nchi tambarare ya jangwani: Mtakaa usiku katika msitu katika nchi tambarare ya jangwani, enyi misafara ya watu wa Dedani.+
13 Tangazo juu ya nchi tambarare ya jangwani: Mtakaa usiku katika msitu katika nchi tambarare ya jangwani, enyi misafara ya watu wa Dedani.+