1 Wafalme 22:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Na palikuwa na mtu aliyepinda upinde bila kujua, lakini akampiga mfalme wa Israeli katikati ya viungio na vazi la chuma, naye akamwambia mwendesha-gari+ wake: “Geuza mkono wako, uniondoe katika kambi, kwa sababu nimeumizwa vibaya.”
34 Na palikuwa na mtu aliyepinda upinde bila kujua, lakini akampiga mfalme wa Israeli katikati ya viungio na vazi la chuma, naye akamwambia mwendesha-gari+ wake: “Geuza mkono wako, uniondoe katika kambi, kwa sababu nimeumizwa vibaya.”