1 Wafalme 6:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Naye akajenga kuta za ndani za nyumba kwa mbao za mierezi. Kuanzia sakafu ya nyumba mpaka kwenye maboriti ya dari akaifunika kwa mbao ndani; naye akaifunika sakafu ya nyumba kwa mbao za miberoshi.+
15 Naye akajenga kuta za ndani za nyumba kwa mbao za mierezi. Kuanzia sakafu ya nyumba mpaka kwenye maboriti ya dari akaifunika kwa mbao ndani; naye akaifunika sakafu ya nyumba kwa mbao za miberoshi.+