-
2 Mambo ya Nyakati 20:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Washukieni kesho. Tazama, wanapanda kuja kwa njia nyembamba ya Sisi; nanyi hakika mtawakuta mwishoni mwa bonde la mto mbele ya nyika ya Yerueli.
-