2 Wafalme 21:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Lakini watu wa nchi wakawapiga na kuwaua wale wote waliompangia hila+ Mfalme Amoni. Kisha watu wa nchi wakamfanya Yosia+ mwana wake kuwa mfalme mahali pake.
24 Lakini watu wa nchi wakawapiga na kuwaua wale wote waliompangia hila+ Mfalme Amoni. Kisha watu wa nchi wakamfanya Yosia+ mwana wake kuwa mfalme mahali pake.