-
Hesabu 17:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Na jina la Haruni utaliandika katika fimbo ya Lawi, kwa sababu kuna fimbo moja kwa ajili ya kichwa cha nyumba ya baba zao.
-
-
1 Mambo ya Nyakati 24:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Lakini wana wa Eleazari wakaonekana kuwa na wanaume wengi waliokuwa vichwa kuliko wana wa Ithamari. Basi wakawagawa kwa wana wa Eleazari, wawe vichwa vya nyumba za ukoo wao wa upande wa baba, kumi na sita, na kwa wana wa Ithamari, wawe vichwa vya nyumba zao za ukoo wa upande wa baba, wanane.
-