2 Mambo ya Nyakati 23:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Naye akawasimamisha watu wote,+ kila mmoja akiwa na silaha yake mkononi mwake, kuanzia upande wa kuume wa nyumba mpaka upande wa kushoto wa nyumba, kando ya madhabahu na kando ya nyumba, pande zote karibu na mfalme.
10 Naye akawasimamisha watu wote,+ kila mmoja akiwa na silaha yake mkononi mwake, kuanzia upande wa kuume wa nyumba mpaka upande wa kushoto wa nyumba, kando ya madhabahu na kando ya nyumba, pande zote karibu na mfalme.