1 Wafalme 10:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Ndipo akampa+ mfalme talanta 120 za dhahabu+ na mafuta mengi sana ya zeri+ na mawe ya thamani. Hayakuletwa kamwe tena mafuta ya zeri yaliyo mengi kama yale ambayo malkia wa Sheba alimpa Mfalme Sulemani.
10 Ndipo akampa+ mfalme talanta 120 za dhahabu+ na mafuta mengi sana ya zeri+ na mawe ya thamani. Hayakuletwa kamwe tena mafuta ya zeri yaliyo mengi kama yale ambayo malkia wa Sheba alimpa Mfalme Sulemani.