Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 12:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kwa hiyo Yehoashi mfalme wa Yuda akachukua matoleo yote matakatifu+ ambayo Yehoshafati na Yehoramu na Ahazia mababu zake, wafalme wa Yuda, walikuwa wameyatakasa na matoleo yake mwenyewe matakatifu na dhahabu yote iliyoonekana katika hazina za nyumba ya Yehova na nyumba ya mfalme, akavipeleka+ kwa Hazaeli mfalme wa Siria. Basi akaondoka juu ya Yerusalemu.

  • Isaya 39:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 ‘Tazama! Siku zinakuja, na vyote vilivyo ndani ya nyumba yako na ambavyo mababu zako wameweka akiba mpaka leo hii kwa kweli vitachukuliwa kwenda Babiloni.’+ ‘Hakuna chochote kitakachobaki,’+ Yehova amesema.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki