Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 10:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Ndipo wakakusanyika pamoja na kupanda, wafalme watano wa Waamori,+ mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi, mfalme wa Egloni, hao na kambi zao zote, nao wakaanza kupiga kambi juu ya Gibeoni na kupiga vita juu yake.

  • 2 Mambo ya Nyakati 32:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Baada ya hayo Senakeribu+ mfalme wa Ashuru akawatuma watumishi wake mpaka Yerusalemu, wakati alipokuwa katika Lakishi+ pamoja na uwezo wake wote wa kifalme,+ kwenda kwa Hezekia mfalme wa Yuda na kwa Wayudea wote waliokuwa Yerusalemu, akisema:

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki