Kumbukumbu la Torati 11:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Kila mahali ambapo wayo wa mguu wenu utakanyaga patakuwa penu.+ Mpaka wenu utakuwa kutoka nyikani hadi Lebanoni, kutoka ule Mto, mto Efrati, hadi bahari ya magharibi.+
24 Kila mahali ambapo wayo wa mguu wenu utakanyaga patakuwa penu.+ Mpaka wenu utakuwa kutoka nyikani hadi Lebanoni, kutoka ule Mto, mto Efrati, hadi bahari ya magharibi.+