Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 16:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Nawe utashangilia wakati wa sherehe yako,+ wewe na mwana wako na binti yako na mtumishi wako na kijakazi wako na Mlawi na mkaaji mgeni na mvulana asiye na baba na mjane, walio ndani ya malango yako.

  • Kumbukumbu la Torati 16:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Siku saba utamfanyia Yehova Mungu wako sherehe+ katika mahali ambapo Yehova atapachagua, kwa sababu Yehova Mungu wako atakubariki+ katika mazao yako yote na katika kila tendo la mkono wako, nawe utakuwa na shangwe kwelikweli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki