Yoshua 24:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Hivyo nikawapa ninyi nchi ambayo hamkuifanyia kazi ya taabu na majiji ambayo hamkuyajenga,+ nanyi mkakaa ndani yake. Mashamba ya mizabibu na ya mizeituni ambayo hamkupanda ndiyo mnayokula.’+
13 Hivyo nikawapa ninyi nchi ambayo hamkuifanyia kazi ya taabu na majiji ambayo hamkuyajenga,+ nanyi mkakaa ndani yake. Mashamba ya mizabibu na ya mizeituni ambayo hamkupanda ndiyo mnayokula.’+