Hesabu 18:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Na utahesabiwa kwenu kuwa mchango wenu, kama ile nafaka ya uwanja wa kupuria+ na kama yale mazao kamili ya shinikizo la divai au la mafuta. Hesabu 18:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 “Nawe utawaambia, ‘Mnapochanga vilivyo bora kutoka kwa hivyo,+ ndipo itahesabiwa kwa Walawi kama mazao ya uwanja wa kupuria na kama mazao ya shinikizo la divai au la mafuta.
27 Na utahesabiwa kwenu kuwa mchango wenu, kama ile nafaka ya uwanja wa kupuria+ na kama yale mazao kamili ya shinikizo la divai au la mafuta.
30 “Nawe utawaambia, ‘Mnapochanga vilivyo bora kutoka kwa hivyo,+ ndipo itahesabiwa kwa Walawi kama mazao ya uwanja wa kupuria na kama mazao ya shinikizo la divai au la mafuta.