-
Hesabu 18:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 “Nawe unapaswa kuwaambia, ‘Mnapotoa vitu bora zaidi kutoka katika zawadi hizo kuwa mchango, mchango huo wa Walawi utaonwa kama nafaka kutoka katika uwanja wa kupuria na kama divai inayotoka katika shinikizo la divai au mafuta yanayotoka katika shinikizo la mafuta.
-