Hesabu 18:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 “Nawe utawaambia, ‘Mnapochanga vilivyo bora kutoka kwa hivyo,+ ndipo itahesabiwa kwa Walawi kama mazao ya uwanja wa kupuria na kama mazao ya shinikizo la divai au la mafuta.
30 “Nawe utawaambia, ‘Mnapochanga vilivyo bora kutoka kwa hivyo,+ ndipo itahesabiwa kwa Walawi kama mazao ya uwanja wa kupuria na kama mazao ya shinikizo la divai au la mafuta.