-
Esta 7:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kisha mfalme akarudi kutoka katika bustani ya jumba la mfalme na kuingia katika nyumba ya karamu ya divai;+ naye Hamani alikuwa ameangukia kitanda+ alipokuwapo Esta. Basi mfalme akasema: “Je, malkia alalwe kinguvu vilevile, nami nimo nyumbani?” Neno hilo lilitoka kinywani mwa mfalme,+ nao wakaufunika uso wa Hamani.
-