Esta 2:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Siku hizo Mordekai alipokuwa anaketi katika lango la mfalme, Bigthani na Tereshi, maofisa wawili wa makao ya mfalme, watunza-milango, waligadhibika nao wakazidi kutafuta kumdhuru+ Mfalme Ahasuero.
21 Siku hizo Mordekai alipokuwa anaketi katika lango la mfalme, Bigthani na Tereshi, maofisa wawili wa makao ya mfalme, watunza-milango, waligadhibika nao wakazidi kutafuta kumdhuru+ Mfalme Ahasuero.