Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 5:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 “Uwe tayari kusuluhisha mambo upesi pamoja na mtu anayekushtaki mahakamani, wakati unapokuwa pamoja naye njiani kwenda huko, ili kwa njia fulani mlalamikaji+ asikutie mikononi mwa hakimu, naye hakimu kwa mtumishi wa mahakama, nawe utupwe ndani ya gereza.

  • Luka 12:58
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 58 Kwa mfano, wakati unapoenda kwa mtawala pamoja na mshitaki wako, anza kazi, mkiwa njiani, kujiondolea mwenyewe ubishi pamoja naye, ili asikukokote mpaka mbele ya hakimu, naye hakimu akukabidhi kwa ofisa wa mahakama, na ofisa wa mahakama akutupe gerezani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki