-
Luka 12:58Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
58 Kwa kielelezo, wakati unapoenda kwa mtawala pamoja na mpinzani wako sheriani, anza kazi, mkiwa njiani, kujiondolea mwenyewe ubishi pamoja naye, ili asipate kamwe kukuburuta mbele ya hakimu, naye hakimu akukabidhi kwa ofisa wa mahakama, na ofisa wa mahakama akutupe gerezani.
-