Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 50:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Kisha Yosefu akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi; nao wakampaka dawa ya kumfanya asioze,+ naye akatiwa ndani ya sanduku huko Misri.

  • Isaya 22:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 ‘Hapa kuna nini ambacho ni haki yako, na hapa kuna nani ambaye ni haki yako, hata ukajichimbia hapa kaburi?’+ Anachimba kaburi lake juu ya kilele; anajichongea makao katika mwamba.

  • Ezekieli 26:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 pia nitakushusha chini pamoja na wale wanaoshuka kuingia shimoni kwa watu wa zamani za kale,+ nami nitakufanya ukae katika nchi ya chini zaidi,+ kama mahali palipoharibiwa kwa muda mrefu, pamoja na wale wanaoshuka kuingia shimoni,+ ili usipate kukaliwa; nami nitaweka pambo katika nchi ya wale walio hai.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki