Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ruthu 1:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 je, mngewangojea mpaka wawe wakubwa? Je, mngejitenga kwa ajili yao hivi kwamba msipate kuwa wake za waume wengine? Hapana, binti zangu, kwa maana nina uchungu sana kwa sababu yenu, kwamba mkono wa Yehova umenigeukia.”+

  • Zaburi 32:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Kwa maana mkono wako ulikuwa mzito juu yangu mchana na usiku.+

      Umajimaji wa uhai wangu umenyauka kama wakati wa joto kavu la kiangazi.+ Sela.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki