Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 21:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “Naye anayemlaani baba yake na mama yake lazima atauawa.+

  • Kumbukumbu la Torati 27:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “‘Amelaaniwa yule ambaye humtendea baba yake au mama yake kwa dharau.’+ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)

  • Methali 30:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kuna kizazi cha watu ambao humlaani hata baba yao wala hawambariki hata mama yao.+

  • Mathayo 15:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Lakini ninyi husema, ‘Yeyote anayemwambia baba yake au mama yake: “Chochote nilicho nacho unachoweza kufaidika nacho kutoka kwangu ni zawadi iliyowekwa wakfu kwa Mungu,”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki