-
Mathayo 25:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Ndipo wao pia watamjibu kwa maneno haya, ‘Bwana, ni wakati gani tulipokuona ukiwa na njaa au ukiwa na kiu au ukiwa mgeni au ukiwa uchi au mgonjwa au gerezani na tukakosa kukuhudumia?’
-