-
Mathayo 25:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Nao pia watamuuliza: ‘Bwana, ni lini tulipokuona ukiwa na njaa au ukiwa na kiu au ukiwa mgeni au ukiwa uchi au ukiwa mgonjwa au ukiwa gerezani tukakosa kukuhudumia?’
-
-
Mathayo 25:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
44 Ndipo wao pia watamjibu kwa maneno haya, ‘Bwana, ni wakati gani tulipokuona ukiwa mwenye njaa au ukiwa mwenye kiu au ukiwa mgeni au ukiwa uchi au mgonjwa au gerezani na tukakosa kukuhudumia?’
-