-
Yohana 9:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Akawajibu: “Tayari nimewaambia, na bado hamkusikiliza. Kwa nini mnataka kusikia tena? Je, ninyi pia mnataka kuwa wanafunzi wake?”
-