-
Mathayo 21:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Yesu akawajibu: “Nami nitawauliza swali. Mkinijibu basi nitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani:
-
-
Mathayo 21:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa kujibu Yesu akawaambia: “Hakika, mimi pia, nitawauliza nyinyi jambo moja. Mkiniambia hilo, hakika mimi pia nitawaambia nyinyi ni kwa mamlaka gani nafanya mambo haya:
-