Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 127:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Ni kazi ya bure kwamba ninyi mnaamka mapema,+

      Kwamba mnakaa mpaka kuchelewa,+

      Kwamba mnakula chakula kwa maumivu.+

      Hivi ndivyo anavyompa hata mpendwa wake usingizi.+

  • Mhubiri 5:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Usingizi wa mtumishi ni mtamu,+ bila kujali kama anakula kidogo au kingi; lakini wingi alio nao tajiri haumruhusu kulala.

  • Yeremia 31:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Ndipo nikaamka na kuanza kuona; nao usingizi wangu ulikuwa umekuwa mtamu kwangu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki