-
Ezekieli 13:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Nawe utasema, ‘Hivi ndivyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema: “Ole wao wanawake wanaoshona pamoja tepe juu ya viwiko vyote vya mkono na kufanya ushungi juu ya kichwa cha kila ukubwa ili kuwinda nafsi!+ Je, nafsi ambazo ninyi wanawake mnawinda ni zile za watu wangu, nazo nafsi zenu ndizo mnazohifadhi hai?
-