Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 22:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Naye akaendelea kusema: “Usinyooshe mkono wako juu ya huyo mvulana wala usimtendee jambo lolote kamwe,+ kwa maana sasa mimi najua kwamba wewe unamwogopa Mungu kwa kuwa hukunizuilia mwana wako, mwana wako wa pekee.”+

  • 1 Samweli 30:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Na hakuna kitu chochote chao kilichokosekana, kuanzia mdogo zaidi mpaka mkubwa zaidi na wana na mabinti na kuanzia nyara, mpaka chochote ambacho walikuwa wamejichukulia.+ Daudi alirudisha kila kitu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki