5 au anapoenda na mwenzake msituni kukusanya kuni, na mkono wake umeinuliwa ili kugonga kwa shoka ili kuukata mti, nacho chuma kiwe kimechomoka kutoka katika mpini wa mbao,+ na kiwe kimemgonga mwenzake naye akafa, yeye mwenyewe atakimbilia moja la majiji hayo naye ataishi.+