31 Msimsikilize Hezekia; kwa maana mfalme wa Ashuru amesema hivi: “Salimuni amri kwangu, mtoke nje mje kwangu, mle kila mtu kutokana na mzabibu wake mwenyewe na kila mtu kutokana na mtini+ wake mwenyewe na mnywe kila mtu maji ya tangi+ lake mwenyewe,