-
Yoshua 10:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Na ikawa kwamba mara tu walipokuwa wamewaleta wafalme hao kwa Yoshua, Yoshua akawaita wanaume wote wa Israeli na kuwaambia viongozi wa wanaume wa vita waliokuwa wameenda pamoja naye: “Haya, sogeeni mbele. Wekeni nyayo za miguu yenu upande wa nyuma wa shingo za wafalme hawa.”+ Basi wakasogea mbele, wakaweka nyayo za miguu yao upande wa nyuma wa shingo zao.+
-