-
Yohana 19:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Basi Yesu akaja nje, akiwa amevaa taji lenye miiba na vazi la nje la zambarau. Naye akawaambia: “Tazameni! Mwanamume!”