-
Yohana 19:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Basi Yesu akatoka nje, akiwa amevaa taji la miiba na joho la zambarau. Naye Pilato akawaambia: “Tazama! Mwanamume!”
-
-
Yohana 19:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Basi Yesu akaja nje, amevaa taji lenye miiba na vazi la nje la kizambarau. Naye akawaambia: “Tazameni! Mwanamume!”
-