Kumbukumbu la Torati 1:39 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 39 Nao watoto wenu ambao mlisema hivi juu yao: “Watakuwa nyara!”+ na wana wenu ambao leo hawajui jema wala baya, hao wataingia humo, nami nitawapa hiyo, nao wataimiliki.
39 Nao watoto wenu ambao mlisema hivi juu yao: “Watakuwa nyara!”+ na wana wenu ambao leo hawajui jema wala baya, hao wataingia humo, nami nitawapa hiyo, nao wataimiliki.