-
Ufunuo 18:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na sauti ya waimbaji ambao hufuatanisha sauti zao kwa kinubi na ya wanamuziki na ya wapiga-filimbi na ya wapiga-tarumbeta haitasikiwa tena kamwe ndani yako,+ na hakuna fundi wa kazi yoyote atakayepatikana ndani yako tena kamwe, na hakuna sauti ya jiwe la kusagia itakayosikiwa tena kamwe ndani yako,
-