Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 26:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Atakuwa uwanja wa kukaushia nyavu za kukokota+ katikati ya bahari.’+

      “ ‘Kwa maana mimi mwenyewe nimesema,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova, ‘naye lazima atakuwa kitu cha kuporwa na mataifa.

  • Ezekieli 26:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amemwambia Tiro hivi, ‘Inapotokea sauti ya kuanguka kwako, wakati ambapo aliyetiwa majeraha ya kufisha atakapougua, wakati ambapo kutakuwapo mauaji yenye machinjo katikati yako, je, visiwa havitatikisika?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki