Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 45:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Ole wake yeye ambaye ameshindana na Mfanyizaji wake,+ kama kigae cha udongo na vigae vingine vya udongo! Je, udongo+ umwambie mfanyizaji wake: “Wewe hutengeneza nini?” Na kitu ulichotengeneza kiseme: “Yeye hana mikono”?

  • Waroma 9:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Basi, Ee mwanadamu,+ kwa kweli wewe ni nani ndipo uthubutu kumjibu Mungu?+ Je, kitu kilichofinyangwa kitamwambia yeye aliyekifinyanga, “Kwa nini ulinifanya mimi hivi?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki