Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:53
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 53 Ndipo utalazimika kula uzao wa tumbo lako, nyama ya wana wako na binti zako,+ ambao Yehova Mungu wako amekupa wewe, kwa sababu ya mbano na mkazo ambao adui yako atakusonga nao.

  • Ezekieli 14:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “Kwa maana hivi ndivyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema, ‘Hivyo, pia, ndivyo itakavyokuwa wakati kutakapokuwa na hukumu zangu nne zenye madhara+—upanga na njaa na mnyama-mwitu mwenye kudhuru na tauni+—nitakazoleta juu ya Yerusalemu ili kumkatilia mbali kutoka humo mtu wa udongo na mnyama wa kufugwa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki