Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 4:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Ndiyo, tangazeni jambo hilo, kwa mataifa. Lihubirini dhidi ya Yerusalemu.”

      “Walinzi wanakuja kutoka katika nchi ya mbali,+ nao wataipaaza sauti yao juu ya majiji ya Yuda.

  • Yeremia 32:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 “‘Kwa maana wana wa Israeli na wana wa Yuda wamekuwa tu watendaji wa mambo mabaya machoni pangu, tangu ujana wao na kuendelea;+ kwa maana wana wa Israeli pia wananitia uchungu kwa kazi za mikono yao,’+ asema Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki