Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 41:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Baadaye Yohanani+ mwana wa Karea na wakuu wote wa majeshi+ waliokuwa pamoja naye wakasikia ubaya wote ambao Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa ametenda.

  • Yeremia 41:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Sasa Yohanani+ mwana wa Karea na wale wakuu wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye wakachukua yale mabaki yote ya watu ambao walikuwa wamewarudisha kutoka kwa Ishmaeli mwana wa Nethania, kutoka Mispa, baada ya yeye kumpiga na kumuua Gedalia+ mwana wa Ahikamu, watu hodari, wanaume wa vita, na wake na watoto wadogo na maofisa wa makao ya mfalme, ambao alirudisha kutoka Gibeoni.

  • Yeremia 42:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Kisha wakuu wote wa majeshi na Yohanani+ mwana wa Karea na Yezania+ mwana wa Hoshaya+ na watu wote, kuanzia aliye mdogo zaidi mpaka aliye mkubwa zaidi, wakakaribia

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki