Yeremia 25:1 Biblia TakatifuāTafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Neno lililomjia Yeremia kuhusu watu wote wa Yuda katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, yaani, mwaka wa kwanza wa Nebukadreza mfalme wa Babiloni; Yeremia 36:1 Biblia TakatifuāTafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Ikawa kwamba katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili likamjia Yeremia kutoka kwa Yehova, likisema:
25 Neno lililomjia Yeremia kuhusu watu wote wa Yuda katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, yaani, mwaka wa kwanza wa Nebukadreza mfalme wa Babiloni;
36 Ikawa kwamba katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili likamjia Yeremia kutoka kwa Yehova, likisema: