8 kwa sababu matuta ya Heshboni+ yamenyauka. Mzabibu wa Sibma+—wamiliki wa mataifa wamekata matawi yake mekundu. Wamefika mpaka Yazeri;+ walikuwa wametanga-tanga nyikani. Machipukizi yake yalikuwa yameachwa yatoe majani; yalikuwa yamevuka mpaka baharini.