Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 15:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Na Heshboni na Eleale+ yanalia. Sauti yao imesikika mpaka Yahazi.+ Ndiyo sababu watu wenye silaha wa Moabu wanaendelea kupaaza sauti. Nafsi yake imetetemeka ndani yake.

  • Isaya 16:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 kwa sababu matuta ya Heshboni+ yamenyauka. Mzabibu wa Sibma+—wamiliki wa mataifa wamekata matawi yake mekundu. Wamefika mpaka Yazeri;+ walikuwa wametanga-tanga nyikani. Machipukizi yake yalikuwa yameachwa yatoe majani; yalikuwa yamevuka mpaka baharini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki